Anaitwa Mzee Yohana Kikwa, amecheza kama Mheshimiwa Waziri wa Ulinza ambaye ni kipenzi cha Mheshimiwa raisi akitumiwa jina la Yohana Kikwa.
Anaingia katika vita kali ya kuliokoa taifa dhidi ya ufisadi na utakatishaji wa mali za uma.
Lakini Bila ya kutegemea mwanaye wa kipekee Liar anakuja kupatwa na mtihani mzito. Mtihani ambao unakuja kumfanya aharibu kazi ya Mheshimiwa raisi, huku akiwa kama chizi katika Mitaa ya Mabibo Makutano kwa kujaribu kutafuta siri ili kuokoa ndoa yake na maisha yake binafsi.
Lakini alishawahi kuapa kwamba hatoingia uswahili kuishi huko kwakuwa ni sehemu ambayo sio salama, na watu wa huko sio watu salama kwa mtu ambaye haishi huko. Ndani ya Tamthilia ya Mabibo Mabwa wa 7. Inapatikana kwa waigizaji wa Mabibo Tu.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi