Wednesday, October 31, 2018

Gomesa Entertaiment waandaaji wa tamthilia ya Mabibo Mabwawa 7

 Kampuni ya Gomesa Entertainment ndiyo Waandani wa tamthiliya ya Mabibo Mabwawa 7 (New city, New talent) kwa lengo la kuinua na kuzalisha vipaji vipya katika kata ya Mabibo.
Lengo kila mkazi wa Mabibo na vitongoji v yake aweze kupata nafasi ya kushiriki kwa namna moja au nyingine.

Tamthiliya itachezwa na wasanii wa Mabibo pekee na eneo la Mabibo. Ingawa baadaye tutapokea wasanii wengine ili kutuunga mkono katika kuinua sanaa.
Mabibo ni mji mpya wa vipaji ni Mji mpya wa sanaa.



No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi