Tuesday, November 6, 2018

INSPECTOR Mo, awapambania vijana Mabibo


Jina lake Harisi ni Ally Mohamed, ambaye amecheza kama polisi Mpelelezi mwenye lengo la kutafuta siri ya mauaji ya binti wa Waziri.
Tukutane katika tamthiliya Mpya ya Mabibo Mbwawa 7, filamu ambayo inazungumzia masuala mengi ya nchi, vijana siasa na vichekesho.




Mabibo Mbwawa 7, ni moja ya filamu mpya yenye mabadiliko makubwa hapa nchini.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi