Tuesday, September 26, 2017

Shweta Triopathi kumiliki timu ya mpira wa miguu



MWIGIZAJI wa Bollywood Shweta Tripathi ameamua kujikita zaidi katika biashara ya kumiliki timu ya mpira wa miguu ya watoto wenye umri chini ya miaka 12.

Tripathi anamiliki timu hiyo ambayo ya watoto wanotoka katika shule mbalimbali zilizopo katika  manispaa ya  mji wa mashariki mwa Bandra.

Mwigizaji huyo anatarajia kuja na filamu kutoka katika kampuni ya Anurag Kashyap's inayoitwa  Zoo, ambaye ataigiza kama chizi anayecheza na watoto.
Tayari kuna wasanii wengine kama Shar Rukh Khan ambaye anamiliki timu ya kriketi ambayo inacheza ligi ya kwanza ya nchi hiyo.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi