Mwanamuziki wa kizazi kipya Shilole, anatarajia kufanya tamasha katika mji wa Frunkfart uliopo Ujerumani siku ya
September 30 akiwa na Christian Bella
Shilole aliandika katika kurasa yake ya Instagram ;
Siku ndo hizooooo zinayoyoma wakaz wa Germany tareh 30 mm na@bellachristian1 tutakiwasha ile mbaya pata tiket yako mapema 🔥🔥

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi