Baada ya mwigizaji wa Bongo Movies Michael Duma kuweka picha ya mpenzi wake Baada ya Gabo Zigamba kudai kuwa Duma hana demu mzuri , picha hiyo imeleta kizai zai baada ya kugundulika kwamba msichana huyo anajiuza.
Wawili hao wamekuwa kwenye matupizano ya maneno makali huku kila mmoja akidai kwamba mwenzake ni tatizo kwenye tasnia ya filamu.
Ukiingia katika Akaunti ya mrembo huyo ya Instagram hutotomani kuendelea kuangalia picha zake.




No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi