BAADA ya kushindwa masuala ya siana na kimya cha muda mrefu hatmaye Arnold Schwarzenegger anatarajia kuja na
filamu ya Terminator,
akiwa na James Cameron.
Katika
filamu hiyo ambayo safari hii inatarajiwa kuongozwa na Tim Miller aliyeongoza
Deadpool, itamrudisha tena mwigizaji Linda Hamilton ambaye aliigiza kama Sarah
Cannon katika Terminator ya pili ambayo ilitoka 1991.
Mbunifu na
mmiliki wa filamu hiyo Cameron ambaye
aliongoza Terminator ya kwanza na ya pili, alisema kila kitu kimekamilika katika
uandishi wa filamu hiyo.
![]() |
| Anord akiwa na Sarah |
Aliwataja
alioshirikiana nao katika uandishi wa filamu hiyo ni David Goyer (Knight Dark), Charles Eglee
(Angel Dark) na Josh Friedman (Mwandishi wa hadithi za Sarah Connor).



No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi