wolperstylishKama kusoma ukubwani ndio kuna faida namna hii ningejua nisingesoma hata darasa moja๐๐๐Yaani mtu kununuliwa na usafiri alafu utege chuo kwa sababu ya usafiri heeee itakuwa mambo ya ajabu kwa kweliii..๐๐๐Ila sio chuo tu nikitoka chuo ruksa safari nyingine na kuwapa watu lift ๐๐๐Ila nikimaliza vipindi...Hii nimepost kwa ajili ya watu wa insta maana wao wanajuaga insta ndo maisha halisi mtu usipoweka picha ya gari basi huna gari๐ ๐ mtu usipoweka picha za baby basi wameachana hehehe mtu usipoweka picha za site basi huna nyumba loooh kila kitu tuweke insta imekuwa mashindano chaaa..Tukisema tuweke kila kitu mtaanza kuropoka pia..!
wengine hatujazoea nina vingi vya kuweka vikubwa zaidi ya ninavyoweka lakini siwezi kuweka kwa sababu sina uswahili huo...Me naomba umjue kama mlikuwa hamjui insta sio maisha ya kila siku na ya kila kitu..tufanyeni kazi tupige ela kila mtu anajua faida yake km unataka kupeleleza nendeni usalama wa taifa kuna hizo ajira za upelelezi au police...Ila Insta hamtalipwa...

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi