Msanii wa filamu na na mwanamitindo, Wema Sepetu amezindua kipodozi chake maarufu kama kiramba mdomo, shedo au Lipstick kwa kizungu, siku yake ya kuzaliwa lakini kikubwa zaidi siku
hiyo pia aliitumia kwaajili ya kumtambulisha mpenzi wake ......... kutoka Uganda, ambaye naye pia aliudhulia sherehe hizo ambazo zimeendana na furaha kwaajili ya ushindi wa Magufuli kama mwenyewe alivyowahi kusema.
Alisema kwamba siku yake ya kuzaliwa inapita, lakini sherehe atakuja kufanya baada ya ushindi wa Magufuru, kwakuwa alikuwa mmoja wa viongozi waliokuwa wakitembea na mgombea huyo wa CCM katika kampeni huku yeye akiongoza slogani ya Mama Ongea na Mwanao.
hiyo pia aliitumia kwaajili ya kumtambulisha mpenzi wake ......... kutoka Uganda, ambaye naye pia aliudhulia sherehe hizo ambazo zimeendana na furaha kwaajili ya ushindi wa Magufuli kama mwenyewe alivyowahi kusema.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi