riyamaallyKwanza pole Sana pole hii iwafikie wote wale walio kutana na mtihani huu kiukweli kabisa naomba nirudie kutoa duku duku langu na niwatake radhi watanzania na wapenzi wa kazi zangu shabiki wa riyama Ally hii ni njama ya watu wawili ambao ni WASAMBAZAJI wachanga moja anaitwa#makungu mwengine anaitwa #simpogHawa wakaka waliniomba niwasaidie tukakubaliana kua nitawasaidia kuanzia scene tano ktk kila filamu moja nikafanya za makungu mbili na za simpo mbili jumla zote nikazi nne ktk kampun zao kilichotokea wamekwenda kukaa na kujadiliana na kuanza kuzigawa zile scene ktk filamu tafauti tafauti zao ikiwepo hiyo kigoma cha uswahilini na nyengine nitakuja kuziweka hadharani.
Nilipo kuja kugundua kua wananichezea mchezo mchafu nikawatafuta kiustaarabu kilichotokea wakakubali kua wamekosea Leo hii nitawaletea kesho majibu alio nijibu Ila hii ni fundisho kwangu kuwasaidia watu palipo kujali wala kuona umuhimu wa msada wangu kiukweli imeniumiza Sana na imenifanya nifanye maamuzi magumu kuanzia sasa hivi sitajitoa Tena Kwa ajili ya kusaidia balı tutafanya kazi Kwa matakwa yangu mimi na sio Kwa kumsaidia mtu kingine kinacho niskitisha ana nitishia yeye mganga ataniroga kiukweli kabisa nipo radhi Kwa lolote juu ya hili .
Ila sitakubali kuonewa Kwa kutukana na ütü wangu kwao nitapambana mpaka tone langu la damu la mwisho mpaka nijue HATMA ya udhalimu huu Dhidi yangu naheshimu Sana watu na jali pia najitoa sasa inapofikia mtu ananiona mjinga Kwa wema wangu hapana hapo siwezi Tena kuvumilia
Ameniahdi kuniroga eti nitapotea ktk game nikimfatilia dah binadam mzuri akiwa na shida akipta ana badilika mh haya mashabiki na wapenzi wa kazi zangu msipo naona ktk game mjue haki yangu imeniondoa ktk kazi yangu mwaka huu nitaweka nauhesabu ni wakihistoria kwangu nimefanya kazi Kwa nguvu zote nimeambulia kudhulumiwa Ila haki ya mtu haipotei daima na Nina ahidi kuipigania NITAWALETEA na nyengine ambayo nimezulumiwa kazi yote ivi kwanini imani imetoeka kwetu wanadam? Hatuna hata hofu ya Mungu imetuondoka duh Ila nimejifunza kua binadam sio mtu wa kuamini hata kidogo ana badilika muda wowote. KWAKIFUPI MKIKUTA KAZİ INA SCEEN CHINI YA TANO WIZI USİNUNUE....
- chaturizuuKweli riyama hata mm ishanikuta hyo ishu mpaka naogopa kununua cd sasa hv unaweza ukaonekana kwenye kasha tu ilikuwa inaniuma kwakweli @riyamaally
- hernandez__de__fernandoCcter asikutishe yy sio mungu wa kuogopew mungu pekee anafikiri jasho la mtu linaenda bureeee mungu atawaonyesh hao hawatofika popote kuigiza kweny hawajui kazi kupenda slope tu hawawez kutoka kwa style hiyo usijal ccter@riyamaally tupo pamoja mashabiki wako tuna kuamin na kukubali slope hazita wafikisha popote @riyamaally

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi