Badda ya kushinda katika shindano la Big Brother Idriss Sultani, alisema atakuwa mchekeshaji ingawa hajasema katika mtindo upi. lakini waliokuwa katika mitandao ya kijamii hasa wa Istagram, basi hukutana na vituko vya kila aina kutoka kwa mchekeshaji huyo. Ila moja ya kituko chake ni hiki hapa juu ya Mwl Kambarage Nyerere.
2,201 likes
Yupo mwenyewe alikua anagombea yeye Nyerere na Kambarage akikosa yeye kambarage atachukua uraisi 😂😂😂. ila hiyo tiki imepigwa na mkaa haki ya nani vile 😆😆 Au kama ni Khadija kopa basi wanja huu. Unaona kwenye kiboksi cha hapana hiyo mistari mistari hiyo ? Hizo nondo ya jela 😂😂😂


No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi