1,373 likes
#nagharamiavideoloading ... (November )
C.Breezy & allikiba ...good music- bonge la idea yan hloo @bellachristian1
- @bellachristian1 safi mkubwaa
- Idea Nzur sana
- Like a #boss #mkaliwamasauti
- Nilijua kuwepo kwako katika ngoma hio kuna impact kubwa sana muonyeshe dogo njia dizain km anasinzia
- Hatariiiiiiiiiiii hiyooooooo
- Fanya hvyo ila isizid talehe za mwanzo
- Yani usingizi aliolala kiba duu sjui ni usingiz upi kabla ya kuanza kutupia vipande ili watu wahasike na kazi zake wajue kuna mzigo unakuja yeye wala alitoa kipande cku moja tu kweli king....? Make promo bro za kutosha sa iv kila mtu anasubir uchaguz uishe atoe ngoma we unadhan bila promo utatoboa...?
- Maana t7mesubl mda mlefu
- Kingkiba good music wote mafundi
- My opinion and stand: katika wasanii bongo @bellachristian1 you are my number one, but let me clear from my heart, hakuna song ulilopiga nisilokuwa nalo kwangu, every song of yours I have it and like listening to them. Kitendo cha kumshirikisha Huyo kimenifanya nipoteze interest mapema sana na huo wimbo kabla haujatoka, wasanii wote wasiojitambua kama huyo na Yule wa ngororo wamenifanya nione bongoflava ni genge la wahuni tu lenye njaa kuliko utu na maslahi yao!! Yamoto bendi na viongozi wao wote ni mfano halisi, and natabiri jambo, wasanii wote walishiriki kwenye siasa actively wategemee anguko la hari ya juu sana soon baada ya siasa kuisha! Haijalishi ulikuwa upande upi iwe ukawa ama ccm, wote hawa wana hatari ya kuanguka soon rather than later! Waige mfano kwa watu kama chege na kundi la weusi. Haikatazwi kuwa na mapenzi na chama ila, unapojua una status ipi kwa jamii huna budi kuacha mihemko yako na kuwakilisha kile unachofanya kuliko kuwa actively involved na politics, kwa kufanya hvo unakuwa unawagawa mashabiki wako na msanii asimami bila mashabiki. That is my opinion una choice ya kujubali ama kukataa, my opinion remains mine and forever it will be.
- @bellachristian1 there we go again duh
- Watu watapanic jmn
- Kibaaa yoooo kibaaa yooo si unamjuaa uyuu dem 🎶🎶🎶🎵🎵 aijawaiii tokea brother Good music aseeee @bellachristian1
- @bellachristian1 nani director wa iyo ngoma
- Mim ni mojaa katii ya wale majaa nae kubalii kazii zakoo keep it up@bellachristian1
- Watu mapovuuuu yawatoka😆
- Asante mfalme wa masauti tanzania nadunianzima@bellachrian1kwakumuamsha ktk usingizi mzito huyuoanayejiita king.#tunamcheka kwadharau
- 2naitaji muziki muzuri piah na kichupa kikalii mpaka basi much love?
- HUYO NDYO KING KIBA Akiwa na BELLA Wanafki OWANENI
- Jamn mwenye audio ya wimbo wa nagharamia plzz naomba
- Mm ninachokipande #I.neema nichek #whstp 0714538015 ukiridhia
- Sasa hizo nguo gani kiba unavaa
- mi naona poa tu

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi