Wakati mbunge wa Mbeya Mjini, Mr Two, Sugu au Joseph Mbilinyi aking'ang'ania kiti chake cha Ubunge, huku mama watoto wake Feiza Ally ambaye kwa sasa wametengana, ameendelea kutupa maneno makali, huku akiwataka mashabiki wa Mbunge huyo kumuuliza kwamba ameachwa au ameachika kutoka kwa mwanamama huyo wa Big Brother.
678 likes
Watu bwana kwenye furaha zangu mnapenda kunivuruga π π π - yaani natamani mngejua mpenzi wangu mzuri kiasi gani- ananipenda kiasi gani- ananiheshimu na kunitunza kiasi gani - yaani kiheshima-uzuri- tabia hadi kipesa kamashinda huyo mnae nichambia nae kutwa kucha aghhhhh- hlf kila siku nawaambia sikuachwa- nilimuacha hebu piteni kwenye page yake muulizeni- FAIZA alikuacha au ulikuamucha ? π yaani mnaona hatari πππ- hebu kajambeni mbele manina zenuπ ! Am good π


No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi