Thursday, October 8, 2015

Shamsa asema hajamfuata Ney wa Mitego UKAWA


Wakati wasanii wakiangaika kuwanadi wagombea wao, wasanii hao hao wameanza kutupiana maneno makali kiasi cha wengine kukasirika na kujibu tuhuma hizo. Mwigizaji wa filamu ya Chausiku, Shamsa Ford amejibu tuhuma za kwamba yeye anang'ang'ania UKAWA, kisa Ney wa Mitego.


No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi