Hiii ndio picha inayozidi kudhihirisha kwamba mtoto wa Diamond anafanana naye, kuanza style ya mdomo hadi macho.
Hebu angalia maoni ya wasomaji wanavyosema.
Hebu angalia maoni ya wasomaji wanavyosema.
·
tedymatemuMapacha
·
allen_angelo14Mmetokelezea jmn
·
pendo.boutiqueKhaaa
·
gracengolokaWaoo
·
rosehadadaHapn chezea bab na mwan
·
nurma_nurkasHakuna haja ya dna
·
aishahamad86Afu uyu mtoto nae ana
kiherehere
·
tundamanirenatusMkali katokelezea
·
linahplatnumzMtoto ana mapozi huyu hatar
·
nivanmwakipesileNishida
·
benjaminmwakiKing & princec
·
neziaHeshima kwako baba tifa
·
cavincarterThis soooo nice congratulations
dr once again may God be with her in every step she takes on her growth @zarithebosslady
·
ummysanguJmn Mtt anavisa mpk RAHA
·
mary.kessy.12A baby is the same like her father
·
hafidha_cuteSanaaaaa
·
soniaulomiWatanyooooka tu hyo dam yako
bro
·
waridi_rashoooshh aisee uyo wako bhn cute
like her mom
·
solokaaminaDamu yako mwenyewe kaka
·
valencetukayWakwetu huyo acha waongee
·
queenmaggiexuan_one_n_onlyRaha sna jmani
·
wakitaa970Itafahamika tu
·
mtebwalineMcheki lawyer wako akuambie
kuhusu sheria ya mtoto ya mwaka 2009
·
riobaoxyMtu asiseme kitu
·
mariamsekalutuJamani Tifa bb Yake kabisa
·
marymkonyi88pendeza Sana nyie jmn
·
ninawaleoYall luk a like
·
gloriawarobyJmn very cute child
·
kangetavenanceI wish ntajidaije nikipata
·
ochu_s_gomaBina damu bado kuna watu
hamuamini kua mwanae wa tanzania majungu sana
·
mariamsekalutuMwanamke leba
·
berrynimcoCan do wonder wt tht moster lol
·
janeycharles08Daah... xo lovly

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi