Mwenyekiti wa chama cha siasa (Democratic Party - DP) nchini Tanzania, Mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea kwenye kijiji cha Msola mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jaffar Mohamed amethibitisha kifo chake
RPC Mohamed amesema Mtikila alikuwa akitokea Morogoro kuelekea Dar es Salaam na alikuwa na watu wengine watatu katika gari hilo ambao wamejeruhiwa.Amesema chanzo cha ajali hiyo bado kinachunguzwa.
(Gari alilopata nalo ajali)
Hata hivyo mchungaji Mtikila alikuwa maarufu zaidi kwa kufungua kesi mbalimbali zinazohusiana na siasa a kumplekea kuwa mwanasiasa pekee, mwenye mijadala mingi na kesi nyingi zinazohusiana na Siasa Mahakamani.
Hizi miongoni mwa Kesi na mijadala aliyoianzisha.
Mtikila: Shujaa wa Demokrasia, Mwanamapinduzi halisi na Shujaa wangu...
Man of the moment: Reverend Christopher Mtikila
Mchungaji Mtikila kufungua kesi mahakamani kudai Tanganyika Huru
Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa mahakamani
Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100!
Kitendo Cha Rev. Mtikila Kugomea Arrest!, Kinastahili Pongezi!. Watanzania Sasa Tugomee...!
Mtikila: Dr. Slaa na Prof. Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais
Mtikila kumshitaki Lowassa Mahakamani, adai Afya haimruhusu kuwa Rais wa JMT
Mtikila kumshitaki Lowassa kwa kukwepa kodi
Mch. Mtikila kuzuia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 Mahakamani, 2015
Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa
Waraka wa Mchungaji Mtikila kwa Edward Lowassa
Mahojiano ya Mchungaji Mtikila (Kiingereza)
Rev. Mtikila Confirms Hosting FDLR Commanders in Dar es Salaam
Mchungaji Mtikila: CCM ni Manyani - Epidomea
Mchungaji Mtikila anusurika kuuawa
Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania
Rev. Mtikila ashida kesi ya kuruhusu mgombea binafsi mahakama ya Africa
Mtikila aibua mapya tume ya katiba
Mtikila amfungulia Mch. Getrude Rwakare kesi 69/2011 high court
Mchungaji Mtikila kwenda Mahakamani kupinga mchakato wa Katiba Mpya!
Mtikila: Slaa alishinda kwa 71%
Mchungaji Mtikila atoa Kali
Mtikila atishia kumshtaki AG
Hukumu ya mgombea binafsi hii hapa (AG vs Mtikila)
Serikali yaamriwa kuanzisha mchakato wa mgombea binafsi, ni baada ya Mtikila kushida kesi
Mtikila atangaza kugombea Urais kama mgombea binafsi
Mtikila ashinda tena kesi ya mgombea huru; Afungua upya Mahakama ya Afrika Mashariki
Mtikila: Nitaenda mahakama ya kimataifa kwa ajili ya kufungua kesi kuhusu Rasimu ya Katiba


No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi