·
nikkwapiliATM hazitakuwa na hela, sijui tununuwe vyakula tuweke ndani, hofu
tupu....uchaguzi ama utumwa.....alafu watu wenye tunao wachaguwa ni kakundi kadogo
tu kawatu.....kwan wabunge na raisi...kwa ujumla hawafiki hata
miatano......lakini wanavyo tupeleka watu milion 40 kama nyumbu
wao.....mwanachi hofu hana yeye ni kupiga kura....ila mwanasiasa hofu kibao
akiwaza madaraka na mahela ya watu aliyo tumia....hofu yake ni kama sumu na
ukizubaa lazima akulishe
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi