BAADA ya kuzuiliwa kwa wimbo wake mpya wa Viva ambao BASATA walidai kwamba wimbo huo, ulikuwa umejaa matusi na kashifa kwa viongozi. Roma ameamua kwenda mapema katika Baraza hilo la Sanaa ili kuweza kuangalia juu ya kazi yake mpya ambayo anatarajia kuitoa siku ya kesho wakati watu wakipiga kura.
Hata hivyo Roma amesema anaenda kuomba ridhaa ya kukubaliwa kwa wimbo huo, lakini kama hawatampa na wakimzingua ameahidi na yeye kuzingua ingawa hajasema atawazingua katika mtindo gani.
Hata hivyo Roma amesema anaenda kuomba ridhaa ya kukubaliwa kwa wimbo huo, lakini kama hawatampa na wakimzingua ameahidi na yeye kuzingua ingawa hajasema atawazingua katika mtindo gani.
Kesho Ndiyo Ile Tarehe Niliyowaahidi
Kuwa Nitaachia #KIBAO Changu Kipya!!!!! /
Kuwa Nitaachia #KIBAO Changu Kipya!!!!! /
Na Sasa Naelekea #BASATA Kuwasikilizisha Kabisa Kwanza!!! Wakitoa#GO_A_HEAD Tu Basi Kesho Alfajiri #KINANUKA /

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi