Mwigizaji wa filamu kutoka katika vyma vilivyojiunga pamoja na kuunda UKAWA, Hadji Adam maarufu kama baba Haji amejikuta akitamani uchaguzi uishi ili watu waendelee kuishi kwa uhuru baada ya kuzuliwa asisafiri kisa nguo ya Ukawa aliyovaa.
hajiadamAmani iko wapi?!!!! Nimekamatwa Zanzibar sitakiwi kuvuka kurudi Dar, kisa eti nimevaa flana yenye logo ndogo ya Chadema M4U kwani hiki ni chumba cha kupigia kura?!! Au kwani Zanzibar sio Tanzania?!!!! Kosa langu nini?!!!
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi