Friday, September 18, 2015

Adam Mchovu amchana Sam Misago

Mtangazaji machachari wa Clouds Fm  ambaye kwa kiasi fulani amejikita katika muziki wa kizazi kipya, Adam Mchofu maarufu kama 'Baba Joniiii' amevunja ukimya baada ya kuona haina haja ya
kuliweka moyoni kuhusu duku duku lake la kutopigwa kwa nyimbo zake kwa mtangazaji mwenzake Sam Misigo wa East Africa Tv 'EATV' na East Africa Redio.

Baba Jonii amefunguka kwamba, ingawa hawapigi kazi nyimbo zake lakini yeye anamuunga mkono, mtangazaji huto ambaye ametoa wimbo . 

adamchomvu
Ngoma zangu hawazipigi ila si tunawasapoti tu ✌️✌️✌️ ft @iambenpol

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi