Katika kuonesha kwamba mkali wa muziki wa Bongo Fleva hapa nchini kwamba anafuraha ya kuwa na mtoto, Princess Tiffer hakuacha kutua maneno yenye kuonesha wazi kwamba ni Dongo kwa watu fulani.Nyota huyo ametupia picha zake akiwa na mtoto wake katika mtandao wa kijamii wa Instagrama na kuandika 'watu na watoto zao' jambo ambalo mashabiki wanaamini lilikuwa dongo kwa mtu.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi