Ikiwa ni siku chache tangu filamu mpya ya Jb ya MAHABUSU aliyotengeneza ambaye muigizaji mkubwa katika filamu hiyo akiwa Director, Actor na mzee wa mingi marehemu Adam Kuambina, Jb amejikuta akimtaja tena mwigizaji huyo kwamba kama angekuwepo baadhi ya matatizo
yasingemkuta.
Jb alijikuta akiyasema hayo baada ya kutoa tangazo la promo juu ya filamu yake mpya inayokuja, ndipo baadhi ya mashabiki wakamjia juu kwa kutaka filamu hiyo ikanunue na makada wa chama chake.
Hata hivyo mwigizaji huyo aliweza kutumia busara kwaajili ya kuwapoza, na kumtolea mfano swahiba wake huyo ambaye alikuwa kada nzuri wa chama cha Chadema, tena akiwa kampeni meneja wa mkewe Janert na bado walikuwa wakielewana.
Filamu hiyo kwa sasa inayofanya vizuri sokoni, baada ya siku mbili tangu ilipoingia sokoni, imewafanya mashabiki kuanza kutofautisha kazi ya msanii huyo na kuwa na imani naye na kuweka siasa pembeni.
Haya ndio aliyoyasema kupitia Instagram;

FOLLOWING
NARUDIA TENA SIASA SIO VITA...MAREHEMU
ADAM ALIKUWA CHADEMA KULIKO WENGI WENU..MPAKA ALIKUWA CAMPAIGN MANAGER WA MKEWE
JANET KULE KAWE KWENYE UDIWANI...MBONA TULIKUWA TUNASHIRIKIANA???WASANI MBONA
WENGINE WAKO UKAWA LAKINI BADO NI MARAFIKI...NINA NDUGU AMBAO WAKO UKAWA NA
NYINYI PIA MNA NDUGU WAKO CCM MNAGOMBANA NAO????HAMSHIRIKIANI NAO????AU MME ONA
SINEMA ZETU TU...VITU VYOTE MNAVYO NUNUA MADUKANI VIMETENGENEZWA NA
UKAWA???ACHENI SIASA ZA KIJINGA..SITAKI UTOTO NIKITANGAZA KAZI ZANGU...KAMA
HUPENDI PIGA KIMYA...
huku mashabiki wake nao wakitoa maoni yao kwa kusema
·
·
Mm ni Ukawa damu lkn kaz yako ntanunua
na uwa siikos
·
Kwani unaangalia siasa ndani ya cd au ni
ujumbe?kwani akiwa ccm asitangaze kazi yake kisa ni ccm?tuache ujinga kila
ndege hutua kwenye mti aupendao we kama upo ukawa cio wote wako ukawa muache
ubinafsi
·
Kwa wenye vitambi na manyama uzembe just
follow@edmarkslimmingproduct
·
Ila ukiwa msanii hutakiwi kukaa upande
wowote wa siasa, coz mnawagawa mashabiki. Mim hakuna CD ya JB aliyowahi kuitoa
sijanunua, but from now mwishoooo
·
Usiponunua ww tutanunua ss
·
jb acha hiz hata wew uko pande fln hiv
ndo wale wale kweny msafala wa mamba kenge nao wamo
·
Ccm oyeee
·
Wow
·
Navopenda kazi Zako kwanza jb
uwiiiiiiiiii naanzaje kukutenga kwa ajili ya upuuzi wa ccm na ukawa and by the
way mwisho wao Ni tar 25/10 akuuuu piga kazi babu @jb_jerusalemfilms
·
Wanyamazishe hao wacojijua.....ccm juuuu
·
Wanazingua
·
Wambie haoo!!! Unajua ukawa wamepaniki
·
Naomba namba zako jb nahtaj mc ktk
shuhul yangu
·
Sawa baba
·
Duh
·
Ni kweli
·
Kak natak kuonn na ww plz ndn ya wik hii
kma ikwezkaln plz broo namb zang 0715154249 plz fany hvyo nafx yang inanxxtzia
lifanyk harak plz
·
ccm oyeeeee......nawatanyok tuuuuuu
·
Tushaacha Kwani nafaidika na nini mimi?
Una hasira au
·
Brother kapaniki hahahaahaaa you can't
control emotions za watu kaka. Ndio maana mnashauri watu wenye washabiki wengi
kama ww bro JB amtakiwi kuonyesha hisia zenu zakisiasa hadharani. Utakiwi kuwa
BIASED. Kwan ukifanya ivyo unajenga makundi ndan ya fans wako. Na matusi
ayataisha coz wataona auwatendei haki upande waliko wao na ww auko.@jb_jerusalemfilms .
Relax and stay safe. Do not reply to emotions you can't solve the problem



No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi