Kwa wale wapenzi wa filamu wanaposikia jina la Jason Stathem
basi wanaelewa zaidi mni mtu wa aina gani hapo anaongelewa. Unaweza kumkumba
zaidi kwenye filamu kama Expendable 1,2. Basi kama haitoshi utarudisha akili
yako hadi kwenye filamu kama Transporter 1,2,3.
Mkali huyo kwa sasa amejipanga kujiunga katika season mpya
ya filamu ya The Fast and the Furious 7,
ambayo maarufu duaniani.
Hivi karibuni filamu hiyo, imetoa filamu yake ya The Fast
and The Furious ambayo imeuzika sana na kufanya kuwa miongoni mwa filamu
zilizouza sana ikiwemo Tanzania.
Lakini kikubwa zaidi msanii huyo, amesema hayo ni maandalizi
kwaajili ya msimu wa filamu hiyo, ingawa kwa sasa anaitangaza zaidi filamu mpya
ya Home Front.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi