Mwongozaji mwenye malaka ya kukufanya ufurahi katika filamu hiyo, Marc Webb, alijikuta kwenye wakati
mgumu alipoamtuma mbunifu wa mavazi ya Spider-Man kuunda vazi jipya la Spider Man na kujia na mavazi makali lakini yakikosa ukijani na wekundu ambao watu wengi wameuzoea.
Alimsifu kwa ubunifu huo, lakini alishindwa kujua ni vazi gani hasa linastahili na wateja zake watavutiwa nalo, katika yale ambayo yalibuniwa na mbunifu, ambaye aliongeza njonjo kuliko.
Hata hivyo amesema ubunifu ambao umetumiwa kwa sasa unalengo la kuonyesha mabadiliko zaidi ya Spider Man 2099. Filamu hiyo kuzinduliwa Desemba 5 mwaka huu




No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi