Barabara ya Nyerere kuelekea uwanja wa ndege inazidi kusafishwa na kutolondolea kwa baadhi ya mabango makubwa yaliyokuwa pembeni ya barabara hiyo, ili kuitanua kwaajili ya mradi wa barabara ya magari ya mwendo kasi.
Huenda hali ya kukamilika kwa mladi wa barabara za kuelekea Gongo la Mboto, ukapunguza kabisa kero ya foleni ambayo imeendelea kuisumbua barabara hiyo na jiji la Dar es salaam kwa ujumla.
Huenda hali ya kukamilika kwa mladi wa barabara za kuelekea Gongo la Mboto, ukapunguza kabisa kero ya foleni ambayo imeendelea kuisumbua barabara hiyo na jiji la Dar es salaam kwa ujumla.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi