Najua unaweza
kushangaa kuona nyota wa muziki wa Nigeria, Peter na Poul Okoye, hawajafunga
ndoa pamoja ingawa walikuja duania pamoja na hata muziki wanaimba pamoja
kupitia kundi lao la P Square.
Lakini Poul
amesema kwamba kilichopelekea kutokuwa pamoja katika harusi hiyo ya kimila ya
ni utofauti wa makabila ya wake zao, ambapo imewafanya washindwe kuchanganya
kwa pamoja.
Anasema mchumba
wake ambaye ni Anita anatokea katika kabila la Igbo, wakati mpenzi wa Lola
mpenzi wa Peter anatokea kabila la Yoruba.
Hata hivyo Poul
alisema haiwezi tena kutokea, na anatarajia kwamba atakuwepo pamoja kwenye
harusi yao ya pamoja White Wedding, kwakuwa hataki ijirudie tena kuwa mbali na
ndugu yake katika ishu muhimu kama hiyo.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi