Watu wawili wamepoteza maisha baada
ya kubomoka kwa sehemu ya uwanja mpya wa mpira wa miguu unaojengwa
kwenye mji wa Sao Paulo, uwanja mbao ndio unatarajiwa kutumika katika
sherehe za kufungua mashindano ya kombe la dunia mwaka 2014 nchini
Brazil.
Katika tukio hilo watu Wawili walimepoteza maisha, walikua miongoni
mwa Wafanyakazi wanaojenga uwanja huo ambapo kubomoka kwa uwanja huu
kulitokana na kufeli kwa crane ya chuma iliyokuwa ikitumika kuezekea paa
la uwanja huo,ambapo waliofariki ni Fabio Luiz Pereira, 42,
driver/operator wa crane ya kampuni ya BHM Munck pamoja na mjenzi
Ronaldo Oliveira dos Santos, 44.
Brazil inajaribu kuhakikisha Viwanja vyote 12 vitakavyotumika
kwenye mechi za kombe la dunia vinakamilika na ndio maana vimekua
vikijengwa kwa kasi ilikuhakikisha vinamalizika kwa muda uliopangwa na
FIFA ambao ni December 2013.
Hapa likiwa chini.
Lengo walitaka kuliona likiwa hivi baada ya kukamilika.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi