
Baada ya magezti ya udakuzi kumwandama msanii wa kizazi kipya Bob Junior raisi wa Masharobaro kutoka Sharobaro Record, amesema hali hiyo sasa imezidi mpaka na kusema watafikishana mbali.
Bob aliandika kupitia katika mtandao wa jamii wa Facebook kwa kusema;
UNAFKI MKUBWAA HUU DOOH HII TOO MUCH JAMANI HII NIMECHOKA TUTA PELEKANA SASA PABAYA KWELI DAIMMM WAJINGA HAWAA.

haya ndo magazeti yaliyomwandika




No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi