Mkali ambaye kwa sasa anafanya vizuri kwenye muziki wa kizazi kipya, ameendelea kujitetea juu ya tangazo ambalo linaonyesha anatarijia kufanya tamasha katika jiji la Brussels nchini Belgium, na kusema
hatokuwepo lakini watu hao bado wameendelea kutoa matangao. Cheki alivyoandika ( kuna Matangazo yanaendelea Kuwa eti Tareh 07/12/2013 nna show mjini Brussels Belgium... taarifa hizo ni zauongo, SIZAKWELI!!!... Sina Mkataba wala Makubaliano na yoyote ya kuwa na Show huko tareh hiyo... Hivyo my Luvly Fans toka Brussels na nchi za jirani msije kuhudhuria maana Sintokuwepo......!
TANGAZO LINAENDELEA NA WATU WATAPIGA MAHELA... NINI MAWAZO YAKO?

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi