Waandishi kutoka kampuni ya TSN, ya Gazeti la Habari Leo, Sport Leo na DailyNews, wakijiandaa kuingia kwenye michezo ambapo walifanikiwa kuchukuwa kikombe kimoja.
Mambo yalikuwa ni kukata maji kwenda mbele
Bendi ya Extra Bongonayo ilifanya vitu vyake chini ya Ali Choki mzee wa Farasi.
Wafanyakazi wa Tanzania Daima, Valeti Saidi Michael na rafiki yao
Hii ndio Extra Bongo nyuma kabisa ni Super Nyamwela akiongoza ushambuliaji upande wa mauno
Watu walitulia kufuatilia burudani
Amini Mwinyimkuu 'Amini' naye alikuja kuudhulia, akiwa na wanamuziki wa Extra Bongo
Ilikuwa zamu ya Choki kuangusha Sebene.
Baada ya Extra Bongo kushuka walipanda jukwaani, timu nzima ya bendi ya Jahazi Modern taarab kwaajili ya kukongo nyoyo za waandishi.
Hapa Choki akiruka karakasi.
Kazi sasa ikawa kwenye taarabu na mzee Yusufu.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi