Wasanii mbalimbali walikutana siku ya jana katika kuomboleza kifo cha aliyekuwa nguli wa filamu nchini marehemu Steven Kanumba kwa kwenda kuzuru kwenye kaburi lake maeneo ya Kinondoni, baada ya kufanya misa kidogo kanisani.
Katika maudhulio hayo yalifanya na wasanii mbalimbali, akiwemoElizaberth Michael 'Lulu' na wasanii wengine ili kuonyesha mshikamano wao, na kuonyesha jinsi wanavyomkumbuka mwenzao.
Hebu angalia picha zaidi za matukio ya makabulini.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi