Friday, April 5, 2013

Kajala Wema wala bata na Prezo

 Baada ya siku chache kuachiriwa kwa dhamana mwigizaji maarufu wa sanaa hapa nchini Kajala Masanja, ameonekana akila bata na rafiki yake wa karibu ambaye aliamua kuchora jina lake katika mwili wake Wema Sepetu, huku kati wakiwa na mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchi Kenya Prezo.
 Kwa habari za kusadikika zinadaiwa Mwigizaji huyo anandaa party kwaajili ya kusherekea siku ya kutoka kwake, ambapo itatumbuizwa na msanii huyo.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi