Mwigizaji wa filamu za Vichekesho nchini Kingi Majuto, amekuja na filamu mpya inayokwenda kwa jina la Pundamilia.
Mfalme huyo wa filamu za kuchekesha amesema filamu hiyo inaeleza athari nyingi moja wapo ikiwa uendeshaji wa gari bila ya kujali na nani anakatisha barabarani.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi