Thursday, February 14, 2013

Diamond- baraka za mama ni dawa

 Baada ya mtu mmoja kujitokeza na kudai kwamba yeye ndiyo anayemfanya mwanamuziki Diamond Plutnum kuwa juu, mwanamuziki huyo ameibuka kupitia mtandao wake na kusema hamna kitu kama hicho. Amesema kwamba mama yake ndiyo mtu pekee ambaye anamfanya kuwa juu, kutokana kabla ya kwenda kwenye show basi hupitia kwake kuomba baraka.


No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi