KUNDI la wanamuziki watatu wa kike la Shosteez,
limekamilisha wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la On the floor ambaqyo
wanaamini itashika katika anga za muziki wa kimataifa.
Akizungumza
meneja wa kundi hilo linaloundwa na Sally Salma, Munzi Moru na Menynall Atike , Lamer wa Fish
crub alisema video ya wimbo huo
imezinduliwa katika usiku maalum wa wapendanao ya Valentine Day.
Lamar
alisema kwamba wimbo mzima umeimbwa katika lugha ya kiengeleza, lakini ukiwa na
burudani zaidi ya kuchezeka jambo ambalo anaamini utafanya vizuri zaidi.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi