Chalii mtoto wa bibi kutoka na Project yake
Hii ni ngoma mpya toka kwa Chalii Mtoto wa Bibi,mzee wa wakusindikiza kutoka Jambo Squad ambaye kwa sasa atakua anatoa solo projects huku akiendelea kufanya kazi kama kundi(Jambo Squad),ngoma inatokea pande za Grandmaster Records baada ya kimya kirefu cha John B baada ya kurudi kutoka masomoni,"Huu ni mwanzo tu,tuna mengi sana kwaajili ya industry na fans wa muziki",wasema John B na Chalii Mtoto wa Bibi Nigga C
Dowload link
Song; Kipendacho Roho
Artists; Chalii Mtoto wa Bibi ft Jordan
Producer; John Blass(John B)
Studio; Grandmaster Records
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi