| Mwanamuziki aliyetamba na wimbo wa Mchiriku, Omari Omari aliyefariki dunia hivi karibuni leo amezikwa kwenye makabuli ya Mikoroshini Temeke na wasanii na watu wengine. Katika mazishi hayo yaliudhuru na baadhi ya wasanii wa filamu na muziki, huku watu wakihoji kwanini wasanii wengi hawakuwepo jambo ambalo wameamini kwamba huenda wasanii wamekuwa na ubaguzi juu ya nani wa kumzika nani wa kumwacha |
Hata hivyo wasanii pia walijitokeza ingawa si kwa wingi, ila baadhi yao alikuwepo Dr Cheki, Mzee Yusufu, Ali Jay, Juma Nature Chege, Dully Syskes, Waziri Ally, Inspector Haroon na wengine ambao walikuja kumsindikiza msanii huyo aliyetamba kwa muda mfupi.
Dk Cheni akiwa na mzee Yusufu
Juma Nature akiwa ametulia pembeni.
Inspecta Haroon akiwa kwenye pozi na mwanamuziki wa Mabaga Freshi.
Wawakilishikutoka TAFU, raisi wa wawasanii Mwakifamba na mwakilisha kutoka Bongo Movie Chiki Mchoma
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi