Bendi ya Twanga Pepeta, imepata wanenguaji wapya ambao wamepania kufanya makubwa kwenye bendi hiyo. Wanenguaji hao wametokea katika bendi ya Extra Bongo, wamesema lengolao kufanya makubwa katika bendi hiyo ya Asha Baraka. Wanenguaji hao ni Morine Mishebeduo, Happy wa Danger na Lightness
Wamesema watu wamezoea kuona mauno jukwaaji, lakini safari hii wataona mauno pamoja na sarakasi kwakuwa wapo kwaajili ya kazi hiyo, na lengo kubwa ni kutoa burudani ambayo wamepanga kutoa katika viwanja vya Twanga Pepeta

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi