Mwanamuziki kutoka Temeke Omari Omari amefariki dunia juzi nyumbani kwao Temeke. Chanzo cha kifo chake mwanamuziki huyo inadaiwa kwamba alikuwa anaugua kifua kwa muda mrefu na kuanza kuanza kutumia dawa hadi pale alipopata nafuu. Inasema kama mwanamuziki huyo alizidiwa siku mbili kabla na kupelekwa kwenye hospitali ya Temeke, hadi alipopata nafuu na kurudi mwenywe nyumbani.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi