Ball Player ya Izo B kuachiwa rasmi
Mwanamuziki Izzo B anatarajia kuachia wimbo wake mpya kupitia katika kipindi cha XXL, wimbo ambao utaitwa ball
player itazinduliwa rasmi katika nyimbo hiyo amemshirikisha Albert
mangwair, quick rocka na mwanadada hatari wa kuimba anayeitwa RUTH .
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi