MSANII wa
filamu nchini ambaye amehamia katika muziki wa kizazi kipya, Snura Mushi
‘Snura’ameachia wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Shoga ake mama.Akizungumzia
video ya wimbo huo Snura alisema
ni nyimbo mzuri ambaye ameonyesha uwezo wake
wa kucheza, hususani katika kukata mauno ya ukweli.
Alisema
video ya wimbo ambayo imetoka hivi karibuni, itafanya vizuri na kuweza
kuitambulisha kwa wadau ili wampokee kwa mikono miwili.
“Nitafanya
matamasha kwaajili ya kuzunguka kila kona kuisambaza video hiyo ili kuweza
kupokelewa” alisema.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi