Hatimaye
washiriki wa EBSS watano watakaoingia fainali wamepatikana wiki hii
baada ya washiriki wawili Husna Nassor na Godfrey Kato kuyaaga
mashindano. Top five wa EBSS 2012 ni NSAMI NKWABI, NSHOMA
NG'HANGASAMALA, SALMA YUSUF, WABABA MTUKA and WALTER CHILAMBO. Fainali
za EBSS Zitafanyika Ijumaa tarehe 9 November 2012, katika ukumbi wa
Diamond Jubilee kuanzia saa moja usiku.
Ticket za EBSS zipo tayari na zinapatika katika vituo vifuatavyo:
1. SHEAR ILLUSIONS – MILIMANI CITY
2. BIGGY RESPECT- KARIAKOO
3. STEERS- MJINI (CITY CENTRE)
4. ZIZZOU FASHION (VICTORIA & SINZA)
5. PHOTOPOINT- MAYFAIR PLAZA
3. STEERS- MJINI (CITY CENTRE)
4. ZIZZOU FASHION (VICTORIA & SINZA)
5. PHOTOPOINT- MAYFAIR PLAZA
6. ROBY ONE FASHIONS (KINONDONI)
7. BEST BITE
8. SAMAKI SAMAKI- MBEZI
9. DIAMOND JUBILEE HALL
7. BEST BITE
8. SAMAKI SAMAKI- MBEZI
9. DIAMOND JUBILEE HALL
Bei za Ticket:Bei za Ticket: VVIP (Tsh 70,000/=), VIP (Tsh 30,000/=), Kawaida (Tsh 10,000/=) - Kufanya booking piga namba: +255 778 952 795
Wanamuziki wafuatao watakuwepo kuwapa burudani siku ya Fainali za EBSS.
1. RICH
MAVOKO2. OMI DIMPLES3. BEN
POL4. LINA5. AMINI6. MZEE YUSUF7. HAJI RAMADHAN8.
MWASITI9. DITTO10. LAILA RASHID11. LINEX12. BARNABA
Fans
wa ukurasa wa EBSS kwenye Facebook wanaweza kujishindia ticket mbili
kila mmoja kwa kujibu maswali yatakayoulizwa katika ukurasa huo.
Picha
za EBSS za wiki hii zimeambatanishwa na messeji hii. Maelezo ya picha
yanapatikana kwa Kiingereza na Kiswahili kwenye Word. Linki za video za
EBSS za hivi karibuni zinapatikana chini ya messeji hii.
Mawazo
na michango yenu yanahitajika katika kuendeleza uhusiano mzuri na
katika kupata taarifa/picha bora zaidi. Kama utapenda tuongeze anuani ya
barua pepe ili kupata taarifa zitakazo kuwa zinatumwa, tafadhali ongeza
anuani hiyo na ujibu barua pepe hii ukiweka majina na wadua wengine wa
habari.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi