Baada ya kuachana na kampuni ya Liba Production, mwigizaji Selemani Barafu amesema filamu ya Dont Tray, ndiyo filamu yake ya kwanza kutoka katika kampuni yake mpya ambayo hatotaka kushare na mtu yeyote. Alisema hivi sasa anasimama katika kazi zake mwenyewe wakati huo akijipanga kutoa kazi nyingi zaidi ya hizi.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi