Thursday, November 8, 2012

Bob Junior, Cyrill bifu lao laishia kwenye video


 Baada ya wasanii wawili Bob Junior na Cyrill kuwa na bifu la muda mrefu na hatmaye kulimaliza bifu lao kwa kuimba wimbommoja wa Utamu wa Chocolate, hivi sasa wasaniii hao wapo kwenye kukamilisha video ya wimbo huo. 

 

 Ndani ya video hiyo wasanii hao kila mmoja lionyesha uwezo wake ili kuweza kuonyesha kwamba yeye ni mkali zaidi ya mwenzie, ila kisanii zaidi na kuondoa kabisa ile imani ya kuwa wanabifu tena.





No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi