Wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambao wanafanya kazi zao Afrika Kusini ambapo walikuwepo masomoni, Pah One wamesema muziki wa Tanzania unaenda kwa ubaguzi kiasi cha kufanya usikue. wasanii hao walisema kwamba kwa sasa hakuna wasanii ambao wanaweza kufanya vizuri kwa wakati mmoja, kwakuwa wengi sana wamekuwa tegemeo katika kazi zao.
Hata hivyo wasanii hao wamesema wao wataendelea kufanya kazi zao na kuzisambaza ndani na nje ya nchi, bila ya kujali chochote kwakuwa muziki kwao wanafanya baada ya kazi zao za kawaida.
Hata hivyo wasanii hao wamesema wao wataendelea kufanya kazi zao na kuzisambaza ndani na nje ya nchi, bila ya kujali chochote kwakuwa muziki kwao wanafanya baada ya kazi zao za kawaida.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi