Ujio wa filamu mpya ya Vicent Kigosi kupitia kampuni yake ya Rj Company, anasema baada ya kuingia sokoni kwa filamu yake ya Principle of Woman anasema kwa sasa anakuja na filamu ya Sister Marry. Katika filamu hiyo amesema amewashirikisha wasanii ambao siku zote amewaona wamekuwa wakifanya vizuri.
Abdullah mwana wa Mbua, akikamua vizuri katika filamu hiyo.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi