Studio ya kurekodi muziki ambayo ilikuwa ikiibuka kwa kasi chini ya Producer Suresh au Mr India na kumtoa Dogo Aslay na Bibi Cheka, imegawanyika vipande viwili, kutokana na kutoelewana kwake na mkurugenzi wa Studio hiyo Saidi Fella pamoja na meneja wa studio Yusufu Chambuzo, kutokana na kile kinachodaiwa kwamba Producer huyo...........
Baada ya kuambiwa hivyo, producer huyo alikataa ndipo meneja na Saidi Fella waliamua kutaka kuchukuwa vitu vyao vya muziki, lakini producer Suresh, inasadikiwa aliwaomba ili wamwachie vifaa hivyo kwakuwa ndiyo sehemu ya maisha yake. Meneja anasema kwakuwa hawakuwa na ubaya naye, wala tatizo ikabidi wamwachie na wao kununua vifaa nipya ambavyo hadi sasa wameshakamilisha na kuanza kazi kama zamani.
Hivi sasa studio hiyo inaitwa Vibe Record ikiwa chini ya Producer Shirko, ambaye ni raia wa Kenya aliamua kuja kufanya kazi ya muziki Tanzania, na ndiye aliyetengeneza wimbo wa Mi na wewe pia kuchana katika wimbo huo wa Two Berry (Berry Black na Berry White)
Shirko

![]() |
| Shirko |
Shirko

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi