Mwanamuziki ambaye anafanya vizuri anapokuwa jukwaani Baghdad anatarajia kufanya bonge la show leo akiwa na mashabiki wake ambao wamemaliza mtihani wa kidato cha nne leo maarufu kama AFTER EXAM PARTY, ambayo itafanyika katika ufukwe za Mbalamwezi Beach.
Baghdad alisema tamasha hilo litapambwa na wasanii kibao, ambao watashusha burudani kali, ikiwemo Battle, kuanzia saa nane mpaka asubuhi huku mlango ukilipia shilingi 10000, wakati ukiwahi kabla utakuwa ukilipa 5000

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi