Jumapili
ya tarehe 15, October 2012 mshiriki mmoja wa EBSS, Linias Mhaya
aliyaaga mashindano na hivyo kubaki washiriki Tisa tu. Washiriki Tisa
waliobakia wamegawanywa katika makundi matatu na kila Jaji kapewa
washiriki watatu watakaokuwa chini ya usimamizi wake, Majaji wanatakiwa
kuwapa maelekezo kuhusu kuimba na kuwachagulia nyimbo za kuimba.
Picha
zimeambatanishwa na messeji hii. Maelezo ya picha yanapatikana kwa
Kiingereza na Kiswahili kwenye Word. Linki za video za EBSS za hivi
karibuni zinapatikana chini ya messeji hii.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi