Anasema hawezi kukubaliana kuona watu wanaichafua Bongo Movie sababu ya wasanii wachache hususani wa kike, kwakuwa ni huruka ya mtu, hivyo haiwezekani kuwachanga hata wasiokuwemo kwenye tabia hiyo. Batuli alizidi kusema kwamba kila lawama ya tabia mbaya zinaangukia kwa wasanii wa Bongo Movie, na kuwapelekea Watanzania kutokuwa na imani na filamu zao kutokana kuchukizwa na tabia , jambo ambalo anaamini amekuja kuibadilisha imani hiyo.
Saturday, October 20, 2012
Batuli kufuta machozi ya Watanzania
Anasema hawezi kukubaliana kuona watu wanaichafua Bongo Movie sababu ya wasanii wachache hususani wa kike, kwakuwa ni huruka ya mtu, hivyo haiwezekani kuwachanga hata wasiokuwemo kwenye tabia hiyo. Batuli alizidi kusema kwamba kila lawama ya tabia mbaya zinaangukia kwa wasanii wa Bongo Movie, na kuwapelekea Watanzania kutokuwa na imani na filamu zao kutokana kuchukizwa na tabia , jambo ambalo anaamini amekuja kuibadilisha imani hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi